Wasanii wa kundi la Muziki kutoka Kenya Camp Mulla wamechaguriwa kushiriki katika Nigeria Headies Awards (zamani zilikuwa zikiitwa Hip Hop Awards) na wimbo wao wa Feel No Pain katika category ya African Artist Of The Year 2012 (Non-Nigerian Category).
Katika category hiyo Camp Mulla kutoka Kenya watashindana na Sarkodie (Ghana) song - Azonto, D_Black (Ghana) song - Get To The Dance Floor, Zahara (South Africa) song - Loliwe. Burudani hiyo itafanyika mjini Lagos Nigeria hivi karibuni.